KARIBU KWENYE MTANDAO WA TENZI ZA ROHONI

Mtandao Tenzi za Rohoni umebuniwa kwa lengo la kuweka nyimbo, wasifu na mafunzo yanayomwezesha mtu kumsifu na kumuabudu Mungu kupitia mtandao. Mtandao pia unalenga kuwasaidia waimbaji wanaochipukia kuweza kutangaza kazi zao za sanaa zenye kumtukuza Mungu kupitia mtandao huu ni mitandao dada pamoja na mitandao ya kijamii kama Face Book, Twitter nk. Soma zaidi…

Tafuta Nyimbo na Waimbaji