• video

  Baba ninakuabudu by Amon and Upendo Kilahiro

  Taarifa ya Kwa UfupiBaba ninakuabudu ni wimbo mzuri, wenye upako wa kipekee na maarufu ulioimbwa kwa pamoja na Amon na Upendo Kilahiro Ungani na wapendwa wengine kumtukuza na kumuabudu Mungu kupitia huu wimbo
  More Details
 • Ni Tabibu wa Karibu by Angela Chibalonza

  Ni Tabibu wa Karibu; Tabibu wa Ajabu

  Ni Tabibu wa Karibu ni wimbo kutoka katika kitabu cha tenzi za rohoni #7 lakini pia unapatikana katika vitabu vingine vya kikristo. Wimbo huu ni maarufu sana na umeshawahi kuimbwa na waimbaji mbalimbali maarufu, kwaya na bendi maarufu.
  More Details
 • video

  Sarah Fana – El-Shaddai (Official Video)

  Taarifa ya Kwa UfupiVideo ya Elshadai imeimbwa na Sara Fana chombo cha Bwana kutoka Eritrean lakini sasa anaishi Kenya. Yeye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na mtunzi wa nyimbo The video Elshadai is from Sara Fana who call herself a vessel of God. She originally from Eritrean but currently based in Kenyan. A Gospel […]
  More Details
 • Chakutumaini Sina Video Beatrice Mhone

  Chakutumaini Sina Video Beatrice Mhone

  Wimbo huu umeimbwa na Beatrice Mhone kutoka katika kitabu cha Tenzi za Rohoni
  More Details

Karibu Kwenye Tovuti ya Tenzi za Rohoni

Kuhusu Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni na Nyimbo za Kikristo: Mtandao unaokupa fursa ya kumsifu na kumuabudu Mungu muumbaji kupitia nyimbo za tenzi za rohoni, bendi mbalimbali, kwaya mbalimbali, waimbaji binafsi na nyimbo mbalimbali za vitabuni. Inakuwezesha pia kuburudika, kupata mafunzo, kutia moyo na kukupa changamoto katika uhusiano wako na Mungu katika safari yetu ya kwenda Mbinguni. Unapoendelea kusikiliza hizi Tenzi zenye nguvu na mafuta ya upako, Mungu atakuhudumia, kukuinua na kwa kukubariki. Jiunge na Mtandao wa Tenzi za Rohoni ili ubadilishe maisha yako kupitia Nyimbo na mafundisho.

Kwa maelezo zaidi bofya hapa:  Tenzi za Rohoni

Tafuta wimbo ndani ya Tenzi za Rohoni

Kwa upande wa kushoto weka neno, kama vile jina la album, mwimbaji, bendi, wimbo nk.

Upande wa kulia chagua aina ambapo wimbo huo unaweza patikana, mfano kwaya, bendi, kusifu na kuabudu, mwimbaji binafsi nk