UMECHOKA HATA KUZIMIA [Are you Weary?]
Umechoka, hata kuzimia? Mwambie Yesu, mwambie Yesu,
Je, huna furaha na amani? Mwambie Yesu pekee.
Mwambie Yesu, mwambie Yesu, M-saidizi kweli,
Hutapata mwingine kama Yeye, Mwambie Yesu pekee.
Mbona una huzuni rohoni? Mwambie Yesu, mwambie Yesu,
Dhambi zako mbona zakushinda? Mwambie Yesu pekee.
Mwambie Yesu, mwambie Yesu, M-saidizi kweli,
Hutapata mwingine kama Yeye, Mwambie Yesu pekee.
Watu wengi wanakuchukia? Mwambie Yesu, mwambie Yesu,
Shaka unayo ju-u ya kesho, Mwambie Yesu pekee.
Mwambie Yesu, mwambie Yesu, M-saidizi kweli,
Hutapata mwingine kama Yeye, Mwambie Yesu pekee.
Waogopa kifo na mauti? Mwambie Yesu, mwambie Yesu,
Omba Yesu arudi upesi, Mwambie Yesu pekee.