Liko Lango Moja Wazi
1. Liko lango moja wazi, ni lango la Mbinguni
Na wote waingiao watapata nafasi
Chorus
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote wainigie kwake
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi
2. Yesu ndiye lango hili Hata sasa ni wazi
Kwa wakubwa na wadogo Tajiri na maskini
3. Hili ni lango la raha, ni lango la rehema
Kila mtu apitaye hana majonzi tena
4. Tukipitia lango hili Tutafuta mizigo
Tuliochukua kwanza, tutavikwa uzima
5. Hima ndugu tuingie Lango halijafungwa
Likifungwa mara moja halitafunguliwa
Silas Mkumbu sings Liko Lango Moja Wazi
Silas does the third of his five songs at our African evening – all in Swahili.
Liko Lango moja wazi (swahili hymn/instrumental)
Practicing one of my favorite song
EMACHICHI-LIKO LANGO
liko lango moja wazi (swahili hymn)
A hymn i like this time i try to sing it (this is in Swahili)